Jeremiah 27:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waamuru wajumbe hao wawaambie wakuu wao kwamba mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, nasema hivi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wape ujumbe kwa ajili ya mabwana zao na uwaambie: Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, Mungu wa Israeli: ‘Waambieni hivi mabwana zenu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwaagize waende kwa bwana zao, na kuwaambia, Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Mtawaambia bwana zenu maneno haya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waamuru wajumbe hao wawaambie wakuu wao kwamba mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, nasema hivi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wape ujumbe kwa ajili ya mabwana zao na uwaambie, ‘Hili ndilo asemalo BWANA Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: “Waambieni hivi mabwana zenu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wape ujumbe kwa ajili ya mabwana zao na uwaambie: Hili ndilo asemalo bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: ‘Waambieni hivi mabwana zenu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwaagize waende kwa bwana zao, na kuwaambia, BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Mtawaambia bwana zenu maneno haya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waamuru wajumbe hao wawaambie wakuu wao kwamba mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, nasema hivi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uwaagize, wawaambie mabwana wao kwamba: Hivi ndivyo, Bwana Mwenye vikosi, Mungu wa Isiraeli, anavyosema, navyo ndivyo, mtakavyowaambia mabwana wenu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwaagize waende kwa bwana zao, na kuwaambia, BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Mtawaambia bwana zenu maneno haya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaamuru wajumbe hao wawaambie wakubwa wao kwamba: Yawe wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi: