Jeremiah 28:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya nabii Hanania kuvunja nira kutoka shingoni mwa nabii Yeremia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kitambo kidogo baada ya nabii Hanania kuivunja nira kutoka shingo ya nabii Yeremia, neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yeremia:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo neno la Bwana likamjia Yeremia, baada ya Hanania, nabii, kuivunja ile nira iliyokuwa juu ya shingo ya Yeremia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya nabii Hanania kuvunja nira kutoka shingoni mwa nabii Yeremia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kitambo kidogo baada nabii Hanania kuivunja nira kutoka katika shingo ya nabii Yeremia, neno la BWANA likamjia Yeremia:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kitambo kidogo baada ya nabii Hanania kuivunja nira kutoka shingo ya nabii Yeremia, neno la bwana likamjia Yeremia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia, baada ya Hanania, nabii, kuivunja ile nira iliyokuwa juu ya shingo ya Yeremia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya nabii Hanania kuvunja nira kutoka shingoni mwa nabii Yeremia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia Yeremia, mfumbuaji Hanania alipokwisha kuivunja miti ya kongwa shingoni pake mfumbuaji Yeremia, likamwambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia, baada ya Hanania, nabii, kuivunja ile nira iliyokuwa juu ya shingo ya Yeremia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya pale nabii Hanania alipovunja nira kutoka katika shingo la nabii Yeremia, neno la Yawe lilimufikia Yeremia kusema hivi: