Jeremiah 28:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nenda ukamwambie Hanania kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe umevunja nira ya mti, lakini mimi nitatengeneza nyingine ya chuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nenda ukamwambie Hanania, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Umevunja nira ya mti, lakini badala yake utapata nira ya chuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enenda ukamwambie Hanania, ukisema, Bwana asema hivi, Umezivunja nira za mti; lakini badala yake utafanya nira za chuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nenda ukamwambie Hanania kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe umevunja nira ya mti, lakini mimi nitatengeneza nyingine ya chuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nenda ukamwambie Hanania, ‘Hili ndilo asemalo BWANA: Umevunja nira ya mti, lakini badala yake utapata nira ya chuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nenda ukamwambie Hanania, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Umevunja nira ya mti, lakini badala yake utapata nira ya chuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda ukamwambie Hanania, ukisema, BWANA asema hivi, Umezivunja nira za mti; lakini badala yake utafanya nira za chuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nenda ukamwambie Hanania kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe umevunja nira ya mti, lakini mimi nitatengeneza nyingine ya chuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda kumwambia Hanania haya: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Miti ya kongwa, uliyoivunja, ni ya miti tu; lakini mahali pao umeweka miti ya kongwa iliyo ya chuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enenda ukamwambie Hanania, ukisema, BWANA asema hivi, Umezivunja nira za mti; lakini badala yake utafanya nira za chuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenda umwambie Hanania kwamba: Yawe anasema hivi: Wewe umevunja nira ya muti, lakini mimi nitatengeneza ingine ya chuma.