Jeremiah 28:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia nitamrudisha Yekonia mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na watu wote wa Yuda waliohamishiwa Babuloni. Naam, nitaivunja nira ya mfalme wa Babuloni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia nitamrudisha mahali hapa Yekonia mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na wote waliohamishwa kutoka Yuda ambao walienda Babeli,’ asema Mwenyezi Mungu, ‘kwa kuwa nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitamrudisha hapa Yekonia, mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, pamoja na mateka wote wa Yuda, waliokwenda Babeli, asema Bwana; maana nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia nitamrudisha Yekonia mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na watu wote wa Yuda waliohamishiwa Babuloni. Naam, nitaivunja nira ya mfalme wa Babuloni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia nitamrudisha mahali hapa Yekonia mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda pamoja na wote waliohamishwa kutoka Yuda ambao walikwenda Babeli,’ asema BWANA, ‘kwa kuwa nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia nitamrudisha mahali hapa Yekonia mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na wote waliohamishwa kutoka Yuda ambao walikwenda Babeli,’ asema bwana, ‘kwa kuwa nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitamrudisha hapa Yekonia, mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, pamoja na mateka wote wa Yuda, waliokwenda Babeli, asema BWANA; maana nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia nitamrudisha Yekonia mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na watu wote wa Yuda waliohamishiwa Babuloni. Naam, nitaivunja nira ya mfalme wa Babuloni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yekonia, mwana wa Yoyakimu, mfalme wa Yuda, nayo mateka yote ya Yuda waliokwenda Babeli mimi nitawarudisha mahali hapa, kwani nitayavunja makongwa ya mfalme wa Babeli; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitamrudisha hapa Yekonia, mwana wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, pamoja na mateka wote wa Yuda, waliokwenda Babeli, asema BWANA; maana nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile nitamurudisha Yekonia mwana wa Yoyakimu mufalme wa Yuda pamoja na watu wote wa Yuda waliohamishiwa Babeli. Hakika nitaivunja nira mufalme wa Babeli anayowabebesha. –Ni ujumbe wa Yawe.