Jeremiah 28:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nabii atabiriye amani, hutambuliwa tu kama nabii aliyetumwa na Mwenyezi-Mungu, ikiwa mambo aliyotabiri hutokea kweli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nabii atakayetabiri amani atatambuliwa kuwa kweli ametumwa na Mwenyezi Mungu ikiwa unabii wake utatimia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kuwa Bwana amemtuma kweli kweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nabii atabiriye amani, hutambuliwa tu kama nabii aliyetumwa na Mwenyezi-Mungu, ikiwa mambo aliyotabiri hutokea kweli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nabii atakayetabiri amani atatambuliwa kuwa kweli ametumwa na BWANA ikiwa unabii wake utatimia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nabii atakayetabiri amani atatambuliwa kuwa kweli ametumwa na bwana ikiwa unabii wake utatimia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kweli kuwa BWANA amemtuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nabii atabiriye amani, hutambuliwa tu kama nabii aliyetumwa na Mwenyezi-Mungu, ikiwa mambo aliyotabiri hutokea kweli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mfumbuaji anayefumbua mambo ya kutuliza roho atajulikana hapo, lile neno lake mfumbuaji litakapotimia, ya kuwa ni mfumbuaji, Bwana aliyemtuma kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kuwa BWANA amemtuma kweli kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nabii anayetabiri maneno ya amani, anaweza kutambulikana kama ni nabii aliyetumwa na Yawe, wakati mambo aliyotabiri yanapotokea.