Jeremiah 29:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nyinyi mnawasadiki manabii ambao mwasema kwamba Mwenyezi-Mungu amewaleteeni huko Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnaweza mkasema, “Mwenyezi Mungu ameinua manabii kwa ajili yetu huku Babeli,”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mmesema, Bwana ametuinulia manabii huko Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nyinyi mnawasadiki manabii ambao mwasema kwamba Mwenyezi-Mungu amewaleteeni huko Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnaweza mkasema, “BWANA ameinua manabii kwa ajili yetu huku Babeli,”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnaweza mkasema, “ bwana ameinua manabii kwa ajili yetu huku Babeli,”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mmesema, BWANA ametuinulia manabii huko Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nyinyi mnawasadiki manabii ambao mwasema kwamba Mwenyezi-Mungu amewaleteeni huko Babuloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ninyi husema: Bwana ametuinulia wafumbuaji huku Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mmesema, BWANA ametuinulia manabii huko Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi munasema: Yawe ametuinulia manabii huko Babeli.