Jeremiah 29:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni nisemavyo mimi Mwenyezi-Mungu kuhusu mfalme anayekalia kiti cha enzi cha Daudi, na kuhusu watu wote wanaokaa katika mji huu, na ndugu zenu ambao hawakuondoka pamoja nanyi kwenda uhamishoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu kuhusu mfalme aketiye katika kiti cha utawala cha Daudi, na watu wa kwenu wote wanaobaki katika mji huu, ndugu zenu ambao hawakuenda pamoja nanyi uhamishoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana asema hivi, katika habari za mfalme aketiye katika kiti cha enzi cha Daudi, na katika habari za watu wote wakaao ndani ya mji huu, ndugu zenu wasiokwenda pamoja nanyi kufungwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni nisemavyo mimi Mwenyezi-Mungu kuhusu mfalme anayekalia kiti cha enzi cha Daudi, na kuhusu watu wote wanaokaa katika mji huu, na ndugu zenu ambao hawakuondoka pamoja nanyi kwenda uhamishoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini hili ndilo asemalo BWANA kuhusu mfalme aketiaye kiti cha enzi cha Daudi na watu wa kwenu wote wanaobaki katika mji huu, yaani nchi yenu, watu ambao hawakwenda pamoja nanyi uhamishoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini hili ndilo asemalo bwana kuhusu mfalme aketiaye kiti cha enzi cha Daudi, na watu wa kwenu wote wanaobaki katika mji huu, ndugu zenu ambao hawakwenda pamoja nanyi uhamishoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA asema hivi, kuhusu mfalme aketiye katika kiti cha enzi cha Daudi, na kuhusu watu wote wakaao ndani ya mji huu, ndugu zenu wasiokwenda pamoja nanyi kufungwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni nisemavyo mimi Mwenyezi-Mungu kuhusu mfalme anayekalia kiti cha enzi cha Daudi, na kuhusu watu wote wanaokaa katika mji huu, na ndugu zenu ambao hawakuondoka pamoja nanyi kwenda uhamishoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivi ndivyo, Bwana anavyosema kwa ajili ya mfalme anayekaa katika kiti cha kifalme cha Dawidi na kwa ajili ya watu wote wa ukoo huu wanaokaa humu mjini walio ndugu zenu, wasiotoka pamoja nanyi kwenda kuhamishwa;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA asema hivi, katika habari za mfalme aketiye katika kiti cha enzi cha Daudi, na katika habari za watu wote wakaao ndani ya mji huu, ndugu zenu wasiokwenda pamoja nanyi kufungwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi juu ya mufalme anayetawala katika kiti cha kifalme cha Daudi, na juu ya watu wote wanaokaa katika muji huu, ndio wandugu zenu ambao hawakuondoka kwenda pamoja nanyi katika uhamisho: