Jeremiah 29:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi nyote niliowatoa kutoka Yerusalemu, nikawapeleka uhamishoni Babuloni, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, sikieni neno la Mwenyezi Mungu, enyi nyote mlio uhamishoni, niliowapeleka Babeli kutoka Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, lisikieni neno la Bwana, ninyi nyote mliochukuliwa mateka, niliowapeleka toka Yerusalemu mpaka Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi nyote niliowatoa kutoka Yerusalemu, nikawapeleka uhamishoni Babuloni, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, sikieni neno la BWANA, enyi nyote mlio uhamishoni niliowapeleka Babeli kutoka Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, sikieni neno la bwana, enyi nyote mlio uhamishoni, niliowapeleka Babeli kutoka Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, lisikieni neno la BWANA, ninyi nyote mliochukuliwa mateka, niliowafukuza toka Yerusalemu mpaka Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi nyote niliowatoa kutoka Yerusalemu, nikawapeleka uhamishoni Babuloni, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi lisikieni Neno la Bwana, ninyi mateka yote, niliowatoa Yerusalemu na kuwatuma kwenda Babeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, lisikieni neno la BWANA, ninyi nyote mliochukuliwa mateka, niliowapeleka toka Yerusalemu mpaka Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wote niliowaondoa kutoka Yerusalema na kuwapeleka katika uhamisho kule Babeli, musikilize neno langu mimi Yawe.