Jeremiah 29:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini basi, hukumkemea Yeremia kutoka Anathothi anayekutabiria?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini basi hukumkemea Yeremia Mwanathothi, aliyejifanya kama nabii miongoni mwenu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona, basi, hukumkemea Yeremia wa Anathothi, ajifanyaye kuwa nabii kwenu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini basi, hukumkemea Yeremia kutoka Anathothi anayekutabiria?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini basi hukumkemea Yeremia wa Anathothi, aliyejifanya kama nabii miongoni mwenu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini basi hukumkemea Yeremia Mwanathothi, aliyejifanya kama nabii miongoni mwenu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona, basi, hukumkemea Yeremia wa Anathothi, ajifanyaye kuwa nabii kwenu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini basi, hukumkemea Yeremia kutoka Anathothi anayekutabiria?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona sasa hukumkaripia Yeremia wa Anatoti anayewafumbulia ninyi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona, basi, hukumkemea Yeremia wa Anathothi, ajifanyaye kuwa nabii kwenu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini basi, haukukaripia Yeremia wa muji wa Anatoti ambaye anakutabiria?