Jeremiah 29:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana yeye alituma taarifa huko Babuloni kwamba uhamisho wenu utakuwa wa muda mrefu, na kusema mjenge nyumba, mkae; mlime mashamba, mpande mbegu na kula mazao yake!’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ametutumia ujumbe huu huku Babeli: Mtakuwa huko muda mrefu. Kwa hiyo jengeni nyumba mkakae; pandeni mashamba na mle mazao yake.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambaye ametuma watu kwetu katika Babeli, kusema, Uhamisho huu ni wa siku nyingi; jengeni nyumba, mkakae ndani yake; pandeni bustani, mkale matunda yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana yeye alituma taarifa huko Babuloni kwamba uhamisho wenu utakuwa wa muda mrefu, na kusema mjenge nyumba, mkae; mlime mashamba, mpande mbegu na kula mazao yake!’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ametutumia ujumbe huu huko Babeli: Mtakuwako huko muda mrefu. Kwa hiyo jengeni nyumba mkakae, pandeni mashamba na mle mazao yake.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ametutumia ujumbe huu huku Babeli: Mtakuwako huko muda mrefu. Kwa hiyo jengeni nyumba mkakae; pandeni mashamba na mle mazao yake.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambaye ametuma watu kwetu katika Babeli, kusema, Uhamisho huu ni wa siku nyingi; jengeni nyumba, mkakae ndani yake; pandeni bustani, mkale matunda yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana yeye alituma taarifa huko Babuloni kwamba uhamisho wenu utakuwa wa muda mrefu, na kusema mjenge nyumba, mkae; mlime mashamba, mpande mbegu na kula mazao yake!’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii ametuma kwetu Babeli barua ya kwamba: Siku ni nyingi bado, jengeni nyumba, mkae! Limeni mashamba, mle mazao yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambaye ametuma watu kwetu katika Babeli, kusema, Uhamisho huu ni wa siku nyingi; jengeni nyumba, mkakae ndani yake; pandeni bustani, mkale matunda yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana yeye alituma habari huko Babeli, akisema: Mutabaki katika uhamisho kwa muda murefu, mujenge nyumba za kukalia, mulime mashamba, mupande mbegu na kula mazao yake!