Jeremiah 29:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamwambia Yeremia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yeremia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo neno la Bwana likamjia Yeremia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamwambia Yeremia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo neno la bwana likamjia Yeremia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamwambia Yeremia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, neno la Bwana lilipomjia Yeremia kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno la Yawe lilimufikia Yeremia kusema hivi: