Jeremiah 29:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wapelekee watu wote walioko uhamishoni ujumbe huu: Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu ya Shemaya wa Nehelamu: Shemaya amewatabirieni, hali mimi sikumtuma, akawafanya muuamini uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tuma ujumbe huu kwa watu wote walio uhamishoni kusema: ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu kuhusu Shemaya Mnehelami: Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi, hata ingawa sikumtuma, naye amewafanya kuamini uongo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwapelekee habari watu wote waliohamishwa, kusema, Bwana asema hivi, katika habari za Shemaya, Mnehelami; Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi, lakini sikumtuma mimi, naye amewatumainisha neno la uongo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wapelekee watu wote walioko uhamishoni ujumbe huu: Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu ya Shemaya wa Nehelamu: Shemaya amewatabirieni, hali mimi sikumtuma, akawafanya muuamini uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tuma ujumbe huu kwa watu wote walio uhamishoni: ‘Hili ndilo BWANA asemalo kuhusu Shemaya Mnehelami: Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi, hata ingawa sikumtuma, naye amewafanya kuamini uongo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tuma ujumbe huu kwa watu wote walio uhamishoni: ‘Hili ndilo bwana asemalo kuhusu Shemaya Mnehelami: Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi, hata ingawa sikumtuma, naye amewafanya kuamini uongo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwapelekee habari watu wote waliohamishwa, kusema, BWANA asema hivi, kuhusu Shemaya, Mnehelami; Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi, lakini sikumtuma mimi, naye amewatumainisha neno la uongo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wapelekee watu wote walioko uhamishoni ujumbe huu: Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu ya Shemaya wa Nehelamu: Shemaya amewatabirieni, hali mimi sikumtuma, akawafanya muuamini uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tuma barua kwa mateka yote kwamba: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema kwa ajili ya Semaya wa Nehelamu: Kwa kuwa Semaya amewafumbulia ninyi, nami sikumtuma, akawaegemeza mambo ya uwongo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwapelekee habari watu wote waliohamishwa, kusema, BWANA asema hivi, katika habari za Shemaya, Mnehelami; Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi, lakini sikumtuma mimi, naye amewatumainisha neno la uongo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utume ujumbe huu kwa watu wote wanaokuwa katika uhamisho: Yawe anasema hivi juu ya Semaya wa Nehelamu: Semaya amewatabiria ninyi ingawa mimi sikumutuma na kuwasukuma musadikie uongo.