Jeremiah 29:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shughulikieni ustawi wa mji ambamo nimewahamishia. Niombeni kwa ajili ya mji huo, maana katika ustawi wake nyinyi mtastawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia tafuteni amani na mafanikio ya mji ambamo nimewapeleka uhamishoni. Mwombeni Mwenyezi Mungu kwa ajili ya mji huo, kwa sababu ukistawi, ninyi pia mtastawi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kautakieni amani mji ule, ambao nimewafanya mchukuliwe mateka, mkauombee kwa Bwana; kwa maana katika amani yake mji huo ninyi mtapata amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shughulikieni ustawi wa mji ambamo nimewahamishia. Niombeni kwa ajili ya mji huo, maana katika ustawi wake nyinyi mtastawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia tafuteni amani na mafanikio ya mji ambamo nimewapeleka uhamishoni. Mwombeni BWANA kwa ajili ya mji kwa sababu ukistawi, ninyi pia mtastawi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia tafuteni amani na mafanikio ya mji ambamo nimewapeleka uhamishoni. Mwombeni bwana kwa ajili ya mji huo, kwa sababu ukistawi, ninyi pia mtastawi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kautakieni amani mji ule, ambao nimewafanya mchukuliwe mateka, mkauombee kwa BWANA; kwa maana katika amani yake mji huo ninyi mtapata amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shughulikieni ustawi wa mji ambamo nimewahamishia. Niombeni kwa ajili ya mji huo, maana katika ustawi wake nyinyi mtastawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utafuteni utengemano wa ule mji, niliowahamishia ninyi! Uombeeni kwa Bwana! Kwani unapotengemana, nanyi mtapata kutengemana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kautakieni amani mji ule, ambao nimewafanya mchukuliwe mateka, mkauombee kwa BWANA; kwa maana katika amani yake mji huo ninyi mtapata amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mushugulike na kuleta ustawi katika muji ule ambamo nimewahamishia. Muuombee muji huo kwa Yawe, maana ukistawi ninyi vilevile mutastawi.