Jeremiah 29:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wanawatabiria uongo kwa kutumia jina langu. Mimi sikuwatuma. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanawatabiria ninyi uongo kwa jina langu. Sikuwatuma,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana kwa jina langu hutabiri maneno ya uongo kwenu; mimi sikuwatuma, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wanawatabiria uongo kwa kutumia jina langu. Mimi sikuwatuma. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanawatabiria ninyi uongo kwa Jina langu. Sikuwatuma,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanawatabiria ninyi uongo kwa jina langu. Sikuwatuma,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana kwa jina langu hutabiri maneno ya uongo kwenu; mimi sikuwatuma, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wanawatabiria uongo kwa kutumia jina langu. Mimi sikuwatuma. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hao huwafumbulia maneno yenye uwongo katika Jina langu, sikuwatuma; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana kwa jina langu hutabiri maneno ya uongo kwenu; mimi sikuwatuma, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana wanawatabiria uongo kwa kutumia jina langu. Mimi sikuwatuma. –Ni ujumbe wa Yawe.