Jeremiah 3:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mwasi Israeli amedhihirisha kuwa yeye ni afadhali kuliko Yuda mdanganyifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akaniambia, “Israeli asiye mwaminifu ana haki kuliko Yuda mdanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, akaniambia, Israeli mwenye kuasi amejionyesha kuwa mwenye haki kuliko Yuda mwenye hiana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mwasi Israeli amedhihirisha kuwa yeye ni afadhali kuliko Yuda mdanganyifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akaniambia, “Israeli asiye mwaminifu ana haki kuliko Yuda aliye mdanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akaniambia, “Israeli asiye mwaminifu ana haki kuliko Yuda mdanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, akaniambia, Israeli mwenye kuasi amejionesha kuwa mwenye haki kuliko Yuda mwenye hiana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mwasi Israeli amedhihirisha kuwa yeye ni afadhali kuliko Yuda mdanganyifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akaniambia: Binti Isiraeli akiniacha, roho yake ni njema kuliko yake binti Yuda avunjaye maagano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, akaniambia, Israeli mwenye kuasi amejionyesha kuwa mwenye haki kuliko Yuda mwenye hiana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akaendelea kuniambia hivi: Muasi Israeli amejionyesha kuwa wa haki kuliko Yuda mudanganyifu.