Jeremiah 3:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nenda ukamtangazie Israeli maneno yafuatayo: Rudi, ewe Israeli, usiye mwaminifu. Nami sitakutazama kwa hasira kwa kuwa mimi ni mwenye huruma. Naam, sitakukasirikia milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nenda, ukatangaze ujumbe huu kuelekea kaskazini: “ ‘Rudi, Israeli usiye mwaminifu,’ asema Mwenyezi Mungu, ‘sitakutazama tena kwa uso uliokunjamana, kwa kuwa mimi ni mwenye huruma,’ asema Mwenyezi Mungu, ‘Sitashika hasira yangu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enenda, ukatangaze maneno haya kuelekea upande wa kaskazini, ukaseme, Rudi, Ee Israeli mwenye kuasi, asema Bwana; sitakutazama kwa hasira; maana mimi ni mwenye rehema, asema Bwana, sitashika hasira hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nenda ukamtangazie Israeli maneno yafuatayo: Rudi, ewe Israeli, usiye mwaminifu. Nami sitakutazama kwa hasira kwa kuwa mimi ni mwenye huruma. Naam, sitakukasirikia milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nenda, ukatangaze ujumbe huu kuelekea kaskazini: “ ‘Rudi, Israeli usiye mwaminifu,’ asema BWANA, ‘sitakutazama tena kwa uso uliokunjamana, kwa kuwa mimi ni mwenye huruma,’ asema BWANA, ‘Sitashika hasira yangu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nenda, ukatangaze ujumbe huu kuelekea kaskazini: “ ‘Rudi, Israeli usiye mwaminifu,’ asema bwana, ‘sitakutazama tena kwa uso uliokunjamana, kwa kuwa mimi ni mwenye huruma,’ asema bwana, ‘Sitashika hasira yangu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda, ukatangaze maneno haya kuelekea upande wa kaskazini, ukaseme, Rudi, Ee Israeli mwenye kuasi, asema BWANA; sitakutazama kwa hasira; maana mimi ni mwenye rehema, asema BWANA, sitashika hasira hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nenda ukamtangazie Israeli maneno yafuatayo: Rudi, ewe Israeli, usiye mwaminifu. Nami sitakutazama kwa hasira kwa kuwa mimi ni mwenye huruma. Naam, sitakukasirikia milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda kuyatangaza maneno haya na kupaza sauti upande wa kaskazini, useme: Rudi, binti Isiraeli uliyeniacha! ndivyo, asemavyo Bwana: sitawatazama kwa macho makali, kwani ni mpole. Ndivyo, asemavyo Bwana; Sitakasirika kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enenda, ukatangaze maneno haya kuelekea upande wa kaskazini, ukaseme, Rudi, Ee Israeli mwenye kuasi, asema BWANA; sitakutazama kwa hasira; maana mimi ni mwenye rehema, asema BWANA, sitashika hasira hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, kwenda umutangazie Israeli maneno haya: Rudi, ewe Israeli usiyekuwa mwaminifu. –Ni ujumbe wa Yawe.– Nami sitakuangalia kwa hasira maana mimi ni mwema. –Ni ujumbe wa Yawe.– Kweli, sitakukasirikia milele.