Jeremiah 3:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nitawapeni wachungaji wanipendao moyoni, watakaowalisha kwa maarifa na busara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nitawapeni wachungaji wanaoupendeza moyo wangu, ambao watawaongoza kwa maarifa na ufahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitawapa ninyi wachungaji wanipendezao moyo wangu, watakaowalisha kwa maarifa na fahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nitawapeni wachungaji wanipendao moyoni, watakaowalisha kwa maarifa na busara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nitawapeni wachungaji wanipendezao moyo wangu ambao watawaongoza kwa maarifa na ufahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nitawapeni wachungaji wanipendezao moyo wangu, ambao watawaongoza kwa maarifa na ufahamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitawapa ninyi wachungaji wanipendezao moyo wangu, watakaowalisha kwa maarifa na fahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nitawapeni wachungaji wanipendao moyoni, watakaowalisha kwa maarifa na busara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawapa wachungaji waupendezao moyo wangu, wawachunge, mpate ujuzi wa kuerevuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitawapa ninyi wachungaji wanipendezao moyo wangu, watakaowalisha kwa maarifa na fahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawapa wachungaji wanaopendeza moyo wangu, watakaowakulisha kwa akili.