Jeremiah 3:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, mji wa Yerusalemu utaitwa ‘Kiti cha Enzi cha Mwenyezi-Mungu’, na mataifa yote yatakusanyika humo mbele yangu. Hawatafuata tena ukaidi wa matendo yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo, wataita Yerusalemu kuwa Kiti cha Enzi cha Mwenyezi Mungu, nayo mataifa yote watakusanyika Yerusalemu kuliheshimu jina la Mwenyezi Mungu. Hawatafuata tena ukaidi wa mioyo yao miovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha Bwana; na mataifa yote watakusanyika huko Yerusalemu, kwa ajili ya jina la Bwana; wala hawatakwenda tena kwa ukaidi wa moyo wao mbaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, mji wa Yerusalemu utaitwa ‘Kiti cha Enzi cha Mwenyezi-Mungu’, na mataifa yote yatakusanyika humo mbele yangu. Hawatafuata tena ukaidi wa matendo yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo, watapaita Yerusalemu kiti cha enzi cha BWANA, nayo mataifa yote watakusanyika Yerusalemu kuliheshimu jina la BWANA. Hawatafuata tena ukaidi wa mioyo yao miovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo, wataita Yerusalemu kuwa Kiti cha Enzi cha bwana, nayo mataifa yote watakusanyika Yerusalemu kuliheshimu jina la bwana. Hawatafuata tena ukaidi wa mioyo yao miovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha BWANA; na mataifa yote yatakusanyika huko Yerusalemu, kwa ajili ya jina la BWANA; wala hawatakwenda tena kwa ukaidi wa moyo wao mbaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, mji wa Yerusalemu utaitwa ‘Kiti cha Enzi cha Mwenyezi-Mungu’, na mataifa yote yatakusanyika humo mbele yangu. Hawatafuata tena ukaidi wa matendo yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile Yerusalemu watauita Kiti cha kifalme cha Bwana; kule Yerusalemu ndiko, wamizimu wote watakakokusanyikia kwa ajili ya Jina la Bwana, hawataendelea tena kuufuata ugumu wa mioyo yao mibaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha BWANA; na mataifa yote watakusanyika huko Yerusalemu, kwa ajili ya jina la BWANA; wala hawatakwenda tena kwa ukaidi wa moyo wao mbaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati huo, Yerusalema utaitwa “Kiti cha Kifalme cha Yawe”, na mataifa yote yatakusanyika humo mbele yangu. Hawatafuata tena ugumu wao unaotokana na matendo yao mabaya.