Jeremiah 3:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama mke asiye mwaminifu amwachavyo mumewe, ndivyo ulivyokosa uaminifu kwangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama mwanamke asiye mwaminifu kwa mumewe, vivyo hivyo mmekosa uaminifu kwangu, ee nyumba ya Israeli,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika kama vile mke amwachavyo mumewe kwa hiana, ndivyo mlivyonitenda mimi kwa hiana, Ee nyumba ya Israeli, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama mke asiye mwaminifu amwachavyo mumewe, ndivyo ulivyokosa uaminifu kwangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama mwanamke asiye mwaminifu kwa mumewe, vivyo hivyo mmekosa uaminifu kwangu pia, Ee nyumba ya Israeli,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama mwanamke asiye mwaminifu kwa mumewe, vivyo hivyo mmekosa uaminifu kwangu pia, ee nyumba ya Israeli,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali, kama vile mke amwachavyo mumewe kwa hiana, ndivyo mlivyonitenda mimi kwa hiana, Ee nyumba ya Israeli, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama mke asiye mwaminifu amwachavyo mumewe, ndivyo ulivyokosa uaminifu kwangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama mwanamke anavyomdanganya mwenziwe akimwacha, ndivyo, mlivyonidanganya na kuniacha, ninyi wa mlango wa Isiraeli; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika kama vile mke amwachavyo mumewe kwa hiana, ndivyo mlivyonitenda mimi kwa hiana, Ee nyumba ya Israeli, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama muke asiyekuwa mwaminifu anavyomwacha mume wake, ndivyo ulivyokosa uaminifu kwangu. –Ni ujumbe wa Yawe.