Jeremiah 3:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kelele zasikika juu ya vilima: Waisraeli wanalia na kuomboleza, kwa kuwa wamepotoka katika njia zao, wamenisahau mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kilio kinasikika juu ya miinuko iliyo kame, kulia na kuomboleza kwa watu wa Israeli, kwa sababu wamepotoka katika njia zao na wamemsahau Mwenyezi Mungu, Mungu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti inasikiwa juu ya vilele vya milima, ni kulia kwao na maombi yao wana wa Israeli; kwa kuwa wameipotosha njia yao, wamemsahau Bwana, Mungu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kelele zasikika juu ya vilima: Waisraeli wanalia na kuomboleza, kwa kuwa wamepotoka katika njia zao, wamenisahau mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kilio kinasikika juu ya miinuko iliyo kame, kulia na kuomboleza kwa watu wa Israeli, kwa sababu wamepotoka katika njia zao na wamemsahau BWANA Mungu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kilio kinasikika juu ya miinuko iliyo kame, kulia na kuomboleza kwa watu wa Israeli, kwa sababu wamepotoka katika njia zao na wamemsahau bwana Mwenyezi Mungu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti inasikiwa juu ya vilele vya milima, ni kulia kwao na maombi yao wana wa Israeli; kwa kuwa wameipotosha njia yao, wamemsahau BWANA, Mungu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kelele zasikika juu ya vilima: Waisraeli wanalia na kuomboleza, kwa kuwa wamepotoka katika njia zao, wamenisahau mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauti zinasikilika vilimani juu, ni kilio cha malalamiko ya wana wa Isiraeli, kwa kuwa wamezipotoa njia zao kwa kumsahau Bwana Mungu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti inasikiwa juu ya vilele vya milima, ni kulia kwao na maombi yao wana wa Israeli; kwa kuwa wameipotosha njia yao, wamemsahau BWANA, Mungu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kelele linasikilika juu ya vilima: Waisraeli wanalia na kuomboleza, kwa sababu wamepotoka katika njia zao, wamenisahau mimi Yawe, Mungu wao.