Jeremiah 3:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli tumedanganyika mno kuabudu huko vilimani, hakika wokovu wa Israeli watoka kwake Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika zile ghasia za kuabudu sanamu kwenye vilima na milimani ni udanganyifu; hakika katika Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, uko wokovu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kweli, msaada haufai unaotazamiwa kutoka milimani, makutano yenye mshindo juu ya milima; ni kweli, wokovu wa Israeli ni katika Bwana, Mungu wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli tumedanganyika mno kuabudu huko vilimani, hakika wokovu wa Israeli watoka kwake Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika zile ghasia za kuabudu sanamu kwenye vilima na milimani ni udanganyifu; hakika katika BWANA, Mungu wetu, uko wokovu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika zile ghasia za kuabudu sanamu kwenye vilima na milimani ni udanganyifu; hakika katika bwana, Mungu wetu, uko wokovu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kweli, msaada haufai unaotazamiwa kutoka milimani, makutano yenye mshindo juu ya milima; ni kweli, wokovu wa Israeli ni katika BWANA, Mungu wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli tumedanganyika mno kuabudu huko vilimani, hakika wokovu wa Israeli watoka kwake Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli mambo ya vilimani juu ni ya uwongo tu, nayo michezo ya vileleni milimani; kweli kwake Bwana Mungu wetu ndiko, wokovu wa Isiraeli uliko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kweli, msaada haufai unaotazamiwa kutoka milimani, makutano yenye mshindo juu ya milima; ni kweli, wokovu wa Israeli ni katika BWANA, Mungu wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli tumedanganyika sana kwa kutambikia huko kwenye vilima, hakika wokovu wa Israeli unatoka kwake Yawe, Mungu wetu.