Jeremiah 3:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“ ‘Tangu ujana wetu, tendo hili la aibu limeangamiza kila kitu walichotolea jasho wazee wetu: Makundi yao ya kondoo na ng'ombe, wana wao na binti zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangu ujana wetu miungu ya aibu imeyala matunda ya kazi za baba zetu: makundi yao ya kondoo na ng’ombe, wana wao wa kiume na wa kike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kitu cha aibu kimeila kazi ya baba zetu tokea ujana wetu; makundi yao ya kondoo na ng'ombe, wana wao na binti zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“‘Tangu ujana wetu, tendo hili la aibu limeangamiza kila kitu walichotolea jasho wazee wetu: makundi yao ya kondoo na ng'ombe, wana wao na binti zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangu ujana wetu miungu ya aibu imeyala matunda ya kazi za baba zetu: makundi yao ya kondoo na mbuzi, pamoja na ng'ombe, wana wao na binti zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangu ujana wetu miungu ya aibu imeyala matunda ya kazi za baba zetu: makundi yao ya kondoo na ng’ombe, wana wao na binti zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kitu cha aibu kimeila kazi ya baba zetu tokea ujana wetu; makundi yao ya kondoo na ng'ombe, wana wao na binti zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“ ‘Tangu ujana wetu, tendo hili la aibu limeangamiza kila kitu walichotolea jasho wazee wetu: Makundi yao ya kondoo na ng'ombe, wana wao na binti zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jambo lenye soni limeyala mapato ya baba zetu tangu ujana wetu, kondoo na mbuzi wao na ng'ombe wao, hata wana wao wa kiume na wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kitu cha aibu kimeila kazi ya baba zetu tokea ujana wetu; makundi yao ya kondoo na ng’ombe, wana wao na binti zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tangu ujana wetu, tendo hili la haya limeangamiza kila kitu babu zetu walichokitoshea jasho: makundi yao ya kondoo na ngombe, wana wao na wabinti zao.