Jeremiah 3:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hivi punde tu si ulinililia ukisema: ‘Wewe u baba yangu, ulinipenda tangu utoto wangu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wewe hujaniita hivi punde tu: ‘Baba yangu, rafiki yangu tangu ujana wangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je, tokea wakati huu hutanililia, Ee Baba yangu, wewe u kiongozi wa ujana wangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hivi punde tu si ulinililia ukisema: ‘Wewe u baba yangu, ulinipenda tangu utoto wangu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wewe hujaniita hivi punde tu: ‘Baba yangu, rafiki yangu tangu ujana wangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wewe hujaniita hivi punde tu: ‘Baba yangu, rafiki yangu tangu ujana wangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je, tokea wakati huu hutanililia, Ee Baba yangu, wewe u kiongozi wa ujana wangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hivi punde tu si ulinililia ukisema: ‘Wewe u baba yangu, ulinipenda tangu utoto wangu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena unaniita sasa: Baba yangu! Wewe ulikuwa mwenzangu mpendwa wa siku za ujana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je, tokea wakati huu hutanililia, Ee Baba yangu, wewe u kiongozi wa ujana wangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na sasa hivi tu unanililia, ukisema: Wewe ni baba yangu, ulinipenda tangu utoto wangu?