Jeremiah 3:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, utanikasirikia daima? Utachukizwa nami milele?’ Israeli, hivyo ndivyo unavyosema; na kumbe umetenda uovu wote ulioweza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
je, utakasirika siku zote? Je, ghadhabu yako itaendelea milele?’ Hivi ndivyo unavyozungumza, lakini unafanya maovu yote uwezayo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Ataishika hasira yake hata milele? Ataishika hata mwisho? Tazama, umesema hivyo, bali umetenda mambo mabaya, umefuata njia yako mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, utanikasirikia daima? Utachukizwa nami milele?’ Israeli, hivyo ndivyo unavyosema; na kumbe umetenda uovu wote ulioweza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
je, utakasirika siku zote? Je, ghadhabu yako itaendelea milele?’ Hivi ndivyo unavyozungumza, lakini unafanya maovu yote uwezayo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
je, utakasirika siku zote? Je, ghadhabu yako itaendelea milele?’ Hivi ndivyo unavyozungumza, lakini unafanya maovu yote uwezayo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Ataishika hasira yake hata milele? Ataishika hata mwisho? Tazama, umesema hivyo, bali umetenda mambo mabaya, umefuata njia yako mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, utanikasirikia daima? Utachukizwa nami milele?’ Israeli, hivyo ndivyo unavyosema; na kumbe umetenda uovu wote ulioweza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Atakasirika siku zote, asiniondolee makosa kale na kale? ndivyo, unavyosema; kisha unayafanya mabaya, unayoyaweza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Ataishika hasira yake hata milele? Ataishika hata mwisho? Tazama, umesema hivyo, bali umetenda mambo mabaya, umefuata njia yako mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utanikasirikia siku zote? Utachukizwa nami milele? Israeli, vile ndivyo unavyosema; na kumbe umetenda uovu wote ulioweza.