Jeremiah 3:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nilidhani kuwa baada ya kufanya yote hayo, atanirudia. Lakini wapi; hakunirudia. Yuda, dada yake mdanganyifu, alishuhudia yote hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi nilifikiri kuwa baada ya kuyafanya haya yote angenirudia; lakini hakurudi, na dada yake Yuda mdanganyifu aliona hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nalisema baada ya yeye kuyatenda hayo yote, Atanirudia mimi, lakini hakurudi; na dada yake, Yuda mwenye hiana, akayaona hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nilidhani kuwa baada ya kufanya yote hayo, atanirudia. Lakini wapi; hakunirudia. Yuda, dada yake mdanganyifu, alishuhudia yote hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi nilifikiri kuwa baada ya kuyafanya yote haya angelinirudia lakini hakurudi, naye dada yake Yuda asiye mwaminifu aliona hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi nilifikiri kuwa baada ya kuyafanya yote haya angelinirudia, lakini hakurudi, naye dada yake Yuda mdanganyifu aliona hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nilisema baada ya yeye kuyatenda hayo yote, Atanirudia mimi, lakini hakurudi; na dada yake, Yuda mwenye hiana, akayaona hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nilidhani kuwa baada ya kufanya yote hayo, atanirudia. Lakini wapi; hakunirudia. Yuda, dada yake mdanganyifu, alishuhudia yote hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kuyafanya hayo yote, nimesema: Rudi kwangu! Lakini hakurudi, hata dada yake binti Yuda avunjaye maagano aliyaona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nalisema baada ya yeye kuyatenda hayo yote, Atanirudia mimi, lakini hakurudi; na dada yake, Yuda mwenye hiana, akayaona hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nilizani kwamba nyuma ya kufanya hayo yote, atanirudilia. Lakini hakunirudilia. Yuda, dada yake mudanganyifu, alishuhudia hayo yote.