Jeremiah 30:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Majeraha yako hayaponyeki, vidonda vyako havitibiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: “ ‘Kidonda chako hakina dawa, jeraha lako haliponyeki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana asema hivi, Maumivu yako hayaponyekani, na jeraha yako ni kubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Majeraha yako hayaponyeki, vidonda vyako havitibiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hili ndilo asemalo BWANA: “ ‘Kidonda chako hakina dawa, jeraha lako haliponyeki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hili ndilo asemalo bwana: “ ‘Kidonda chako hakina dawa, jeraha lako haliponyeki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA asema hivi, Maumivu yako hayaponyeki, na jeraha lako ni kubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Majeraha yako hayaponyeki, vidonda vyako havitibiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Kidonda chako hakiwezekani, pigo lako haliponi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA asema hivi, Maumivu yako hayaponyekani, na jeraha yako ni kubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Mapigo yako hayaponi, vidonda vyako haviwezi kutunzwa.