Jeremiah 30:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna atakayeshughulikia kisa chako, jeraha lako halina dawa, wewe hutaponyeshwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna yeyote wa kukutetea katika shauri lako, hakuna dawa ya kidonda chako, wewe hutapona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapana mtu wa kukutetea; kwa jeraha yako huna dawa ziponyazo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna atakayeshughulikia kisa chako, jeraha lako halina dawa, wewe hutaponyeshwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna ye yote wa kukutetea shauri lako, hakuna dawa ya kidonda chako, wewe hutapona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna yeyote wa kukutetea shauri lako, hakuna dawa ya kidonda chako, wewe hutapona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapana mtu wa kukutetea; kwa jeraha lako huna dawa ziponyazo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna atakayeshughulikia kisa chako, jeraha lako halina dawa, wewe hutaponyeshwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna akupigiaye shauri, alitoe jipu lako usaha; hakuna dawa ya kubandika, ikuponye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapana mtu wa kukutetea; kwa jeraha yako huna dawa ziponyazo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna atakayekushugulikia, kidonda chako hakina dawa, wewe hautapona.