Jeremiah 30:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona unalia juu ya jeraha lako? Maumivu yako hayaponyeki. Nimekutendea hayo yote, kwa sababu kosa lako ni kubwa, dhambi zako ni nyingi mno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini unalia kwa ajili ya jeraha lako, yale maumivu yako yasiyoponyeka? Kwa sababu ya uovu wako mkubwa na dhambi zako nyingi nimekufanyia mambo haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona unalilia maumivu yako? Hayaponyeki maumivu yako; kwa sababu ya ukubwa wa uovu wako, kwa sababu dhambi zako zimeongezeka, nimekutenda haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona unalia juu ya jeraha lako? Maumivu yako hayaponyeki. Nimekutendea hayo yote, kwa sababu kosa lako ni kubwa, dhambi zako ni nyingi mno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini unalia kwa ajili ya jeraha lako, yale maumivu yako yasiyoponyeka? Kwa sababu ya uovu wako mkubwa na dhambi zako nyingi nimekufanyia mambo haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini unalia kwa ajili ya jeraha lako, yale maumivu yako yasiyoponyeka? Kwa sababu ya uovu wako mkubwa na dhambi zako nyingi nimekufanyia mambo haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona unalilia maumivu yako? Maumivu yako hayaponyeki; kwa sababu ya ukubwa wa uovu wako, kwa sababu dhambi zako zimeongezeka, nimekutenda haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona unalia juu ya jeraha lako? Maumivu yako hayaponyeki. Nimekutendea hayo yote, kwa sababu kosa lako ni kubwa, dhambi zako ni nyingi mno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona unakililia kidonda chako, ya kuwa maumivu yako hayawezekani? Nimekufanyizia hayo, kwa kuwa ulifanya maovu mengi, nayo makosa yako ni makali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona unalilia maumivu yako? Hayaponyeki maumivu yako; kwa sababu ya ukubwa wa uovu wako, kwa sababu dhambi zako zimeongezeka, nimekutenda haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini unalia kwa ajili ya kidonda chako? Maumivu yako hayawezi kupona. Nimekutendea hayo yote, kwa sababu kosa lako ni kubwa, zambi zako ni nyingi sana.