Jeremiah 30:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wote wanaokuangamiza, wataangamizwa, na maadui zako wote watachukuliwa uhamishoni; wanaokuteka nyara, watatekwa nyara, wanaokuwinda nitawawinda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Lakini watu wote wakuangamizao wataangamizwa; adui zako wote wataenda uhamishoni. Wale wote wakutekao nyara watatekwa nyara; wote wakufanyao mateka nitawafanya mateka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa; kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa; na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wote wanaokuangamiza, wataangamizwa, na maadui zako wote watachukuliwa uhamishoni; wanaokuteka nyara, watatekwa nyara, wanaokuwinda nitawawinda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Lakini watu wote wakuangamizao wataangamizwa; adui zako wote watakwenda uhamishoni. Wale wote wakutekao nyara watatekwa nyara; wote wakufanyao mateka nitawafanya mateka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Lakini watu wote wakuangamizao wataangamizwa; adui zako wote watakwenda uhamishoni. Wale wote wakutekao nyara watatekwa nyara; wote wakufanyao mateka nitawafanya mateka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa; kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa; na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wote wanaokuangamiza, wataangamizwa, na maadui zako wote watachukuliwa uhamishoni; wanaokuteka nyara, watatekwa nyara, wanaokuwinda nitawawinda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli wote waliokula wewe wataliwa, nao wote waliokusonga watakwenda kufungwa; waliokunyang'anya nao watanyang'anywa, nao wote waliopokonya mali zako nitawatoa, wapokonywe nao mali zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa; kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa; na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wote wanaokuangamiza, wataangamizwa vilevile, na waadui zako wote watapelekwa katika uhamisho; nao wanaokukamata mateka watakamatwa mateka, nao wanaokuwinda, nitawawinda.