Jeremiah 30:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa zamani, jumuiya yao itaimarika mbele yangu, nami nitawaadhibu wote wanaowakandamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa siku za zamani, nayo jumuiya yao itaimarishwa mbele yangu; nitawaadhibu wote wanaowadhulumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watoto wao nao watakuwa kama zamani, na kusanyiko lao litathibitika mbele zangu, nami nitawaadhibu wote wawaoneao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa zamani, jumuiya yao itaimarika mbele yangu, nami nitawaadhibu wote wanaowakandamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa siku za zamani, nayo jumuiya yao itaimarishwa mbele yangu; nitawaadhibu wale wote wawaoneao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa siku za zamani, nayo jumuiya yao itaimarishwa mbele yangu; nitawaadhibu wale wote wawaoneao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watoto wao nao watakuwa kama zamani, na kusanyiko lao litathibitika mbele zangu, nami nitawaadhibu wote wanaowaonea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa zamani, jumuiya yao itaimarika mbele yangu, nami nitawaadhibu wote wanaowakandamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watoto wao watakuwa kama kale; nalo kundi lao la watu litapata nguvu usoni pangu, nao wote waliowakorofisha nitawapatiliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watoto wao nao watakuwa kama zamani, na kusanyiko lao litathibitika mbele zangu, nami nitawaadhibu wote wawaoneao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa zamani, nayo makundi yatasimama imara mbele yangu, nami nitawaazibu wote wanaowagandamiza.