Jeremiah 30:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama, dhoruba kali kutoka kwa Mwenyezi-Mungu! Ghadhabu imezuka, kimbunga cha tufani kitamlipukia mtu mwovu kichwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, tufani ya Mwenyezi Mungu italipuka kwa ghadhabu, upepo wa kisulisuli uendao kasi utashuka juu ya vichwa vya waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, tufani ya Bwana, yaani, ghadhabu yake, imetokea tufani ya kudumu; itawaangukia waovu vichwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama, dhoruba kali kutoka kwa Mwenyezi-Mungu! Ghadhabu imezuka, kimbunga cha tufani kitamlipukia mtu mwovu kichwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, tufani ya BWANA italipuka kwa ghadhabu, upepo wa kisulisuli uendao kasi utashuka juu ya vichwa vya waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, tufani ya bwana italipuka kwa ghadhabu, upepo wa kisulisuli uendao kasi utashuka juu ya vichwa vya waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, tufani ya BWANA, yaani, ghadhabu yake, imetokea tufani ya kudumu; itawaangukia waovu vichwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama, dhoruba kali kutoka kwa Mwenyezi-Mungu! Ghadhabu imezuka, kimbunga cha tufani kitamlipukia mtu mwovu kichwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtakiona kimbunga cha Bwana, hata makaa yenye moto yakitoka kwake, nao upepo wa chamchela wenye nguvu utawaangukia vichwani wao wasiomcha Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, tufani ya BWANA, yaani, ghadhabu yake, imetokea tufani ya kudumu; itawaangukia waovu vichwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia, zoruba kali kutoka kwa Yawe! Kasirani yake imeamuka, upepo mukali utapiga kichwa cha mwovu.