Jeremiah 30:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hasira kali ya Mwenyezi Mungu haitarudi nyuma hadi atakapotimiza makusudi yote ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hasira kali ya Bwana haitarudi, hata atakapokwisha kutenda, hata atakapokwisha kuyatimiza makusudi ya moyo wake; katika siku za mwisho mtayafahamu haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hasira kali ya BWANA haitarudi nyuma mpaka atakapotimiza makusudi yote ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hasira kali ya bwana haitarudi nyuma mpaka atakapotimiza makusudi yote ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hasira kali ya BWANA haitarudi, hadi atakapokwisha kutenda na kuyatimiza makusudi ya moyo wake; katika siku za mwisho mtayafahamu haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hasira ya Mwenyezi-Mungu haitarudi nyuma, mpaka atakapotekeleza na kukamilisha matakwa ya moyo wake. Siku zijazo mtayaelewa vema mambo hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukali wake Bwana wenye moto hautatulia, mpaka uyafanye na kuyatimiza mawazo ya moyo wake; siku za mwisho mtayatambua haya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hasira kali ya BWANA haitarudi, hata atakapokwisha kutenda, hata atakapokwisha kuyatimiza makusudi ya moyo wake; katika siku za mwisho mtayafahamu haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasira ya Yawe haitatulia, mpaka atakapotimiza na kukamilisha mapenzi ya moyo wake. Kutakuja siku ambazo mutaelewa vema mambo hayo.