Jeremiah 30:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya ndiyo mambo aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu watu wa Israeli na Yuda:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio maneno aliyoyanena Mwenyezi Mungu kuhusu Israeli na Yuda:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na haya ndiyo maneno aliyosema Bwana, katika habari za Israeli, na katika habari za Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya ndiyo mambo aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu watu wa Israeli na Yuda:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo maneno BWANA aliyoyanena kuhusu Israeli na Yuda:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo maneno bwana aliyoyanena kuhusu Israeli na Yuda:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na haya ndiyo maneno aliyosema BWANA, kuhusu Israeli, na kuhusu Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya ndiyo mambo aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu watu wa Israeli na Yuda:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maneno, Bwana aliyoyasema kwa ajili ya Isiraeli na ya Yuda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na haya ndiyo maneno aliyosema BWANA, katika habari za Israeli, na katika habari za Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo mambo aliyosema Yawe juu ya watu wa Israeli na Yuda: