Jeremiah 30:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli, siku hiyo ni kubwa, hakuna nyingine kama hiyo; ni siku ya huzuni kwa watu wa Yakobo; hata hivyo, wataokolewa humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole! Kwa kuwa siku ile itakuwa ya kutisha. Hakutakuwa na nyingine kama hiyo. Utakuwa wakati wa dhiki kwa Yakobo, lakini ataokolewa kutoka dhiki hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole! Maana siku ile ni kuu, hata hapana inayofanana nayo, maana ni wakati wa taabu yake Yakobo; lakini ataokolewa nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli, siku hiyo ni kubwa, hakuna nyingine kama hiyo; ni siku ya huzuni kwa watu wa Yakobo; hata hivyo, wataokolewa humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama jinsi ile siku itakavyokuwa ya kutisha! Hakutakuwa na nyingine mfano wake. Utakuwa wakati wa dhiki kwa Yakobo, lakini ataokolewa kutoka katika hiyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi ile siku itakavyokuwa ya kutisha! Hakutakuwa na nyingine mfano wake. Utakuwa wakati wa dhiki kwa Yakobo, lakini ataokolewa kutoka hiyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole! Maana siku ile ni kuu, hata hapana inayofanana nayo, maana ni wakati wa taabu yake Yakobo; lakini ataokolewa kutoka kwayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli, siku hiyo ni kubwa, hakuna nyingine kama hiyo; ni siku ya huzuni kwa watu wa Yakobo; hata hivyo, wataokolewa humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe siku hiyo ni kubwa, hakuna ifananayo nayo; ndipo, Yakobo anaposongeka, lakini napo atapatoka, aokoke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole! Maana siku ile ni kuu, hata hapana inayofanana nayo, maana ni wakati wa taabu yake Yakobo; lakini ataokolewa nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, siku hiyo ni kubwa, hakuna ingine kama hiyo; ni siku ya taabu kwa watu wa Yakobo; hata hivyo, wataokolewa toka humo.