Jeremiah 30:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao hawatakuwa tena watumwa wa wageni, bali watanitumikia mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, na mfalme wa ukoo wa Daudi ambaye nitawateulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake, watamtumikia Mwenyezi Mungu, Mungu wao, na Daudi mfalme wao, nitakayemwinua kwa ajili yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali watamtumikia Bwana, Mungu wao, na Daudi, mfalme wao, nitakayemwinua kwa ajili yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao hawatakuwa tena watumwa wa wageni, bali watanitumikia mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, na mfalme wa ukoo wa Daudi ambaye nitawateulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake, watamtumikia BWANA, Mungu wao na Daudi mfalme wao, nitakayemwinua kwa ajili yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake, watamtumikia bwana, Mungu wao na Daudi mfalme wao, nitakayemwinua kwa ajili yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali watamtumikia BWANA, Mungu wao, na Daudi, mfalme wao, nitakayemwinua kwa ajili yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao hawatakuwa tena watumwa wa wageni, bali watanitumikia mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, na mfalme wa ukoo wa Daudi ambaye nitawateulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila watamtumikia Bwana Mungu wao na Dawidi, mfalme wao, nitakayemwinua kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali watamtumikia BWANA, Mungu wao, na Daudi, mfalme wao, nitakayemwinua kwa ajili yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao hawatakuwa tena watumwa wa wageni, lakini watanitumikia mimi Yawe, Mungu wao pamoja na mufalme wa ukoo wa Daudi ambaye nitakayewasimikia.