Jeremiah 31:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi mataifa, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu, litangazeni katika nchi za mbali, semeni: ‘Aliyemtawanya Israeli, atamkusanya, atamtunza kama mchungaji atunzavyo kondoo wake.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sikieni neno la Mwenyezi Mungu, enyi mataifa, litangazeni katika nchi za pwani ya mbali: ‘Yeye aliyewatawanya Israeli atawakusanya na atalichunga kundi lake la kondoo kama mchungaji.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lisikieni neno la Bwana, enyi mataifa, litangazeni visiwani mbali; mkaseme, Aliyemtawanya Israeli atamkusanya, na kumlinda, kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi mataifa, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu, litangazeni katika nchi za mbali, semeni: ‘Aliyemtawanya Israeli, atamkusanya, atamtunza kama mchungaji atunzavyo kondoo wake.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sikieni neno la BWANA, Enyi mataifa, litangazeni katika nchi za pwani ya mbali: ‘yeye aliyewatawanya Israeli atawakusanya na atalichunga kundi lake la kondoo kama mchungaji.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sikieni neno la bwana, enyi mataifa, litangazeni katika nchi za pwani ya mbali: ‘Yeye aliyewatawanya Israeli atawakusanya na atalichunga kundi lake la kondoo kama mchungaji.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lisikieni neno la BWANA, enyi mataifa, litangazeni visiwani mbali; mkaseme, Aliyemtawanya Israeli atamkusanya, na kumlinda, kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi mataifa, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu, litangazeni katika nchi za mbali, semeni: ‘Aliyemtawanya Israeli, atamkusanya, atamtunza kama mchungaji atunzavyo kondoo wake.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lisikieni Neno la Bwana, ninyi mataifa! Litangazeni kwenye visiwa vilivyoko mbali! Semeni: Aliyewatawanya Waisiraeli anawakusanya na kuwalinda, kama mchungaji anavyolilinda kundi lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lisikieni neno la BWANA, enyi mataifa, litangazeni visiwani mbali; mkaseme, Aliyemtawanya Israeli atamkusanya, na kumlinda, kama mchungaji alindavyo kundi lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi mataifa, musikilize neno langu mimi Yawe, mulitangaze katika visanga vya mbali, museme hivi: Aliyemusambaza Israeli, atamukusanya, atamutunza kama muchungaji anavyotunza kondoo wake.