Jeremiah 31:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana mimi Mwenyezi-Mungu nimemkomboa Yakobo, nimemwokoa kutoka kwa wenye nguvu kuliko yeye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu atamlipia fidia Yakobo na kuwakomboa mkononi mwa walio na nguvu kuliko wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Bwana amemweka huru Yakobo, amemkomboa mkononi mwake aliyekuwa hodari kuliko yeye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana mimi Mwenyezi-Mungu nimemkomboa Yakobo, nimemwokoa kutoka kwa wenye nguvu kuliko yeye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa BWANA atamlipia fidia Yakobo na kuwakomboa kutoka mkononi mwao walio na nguvu kuliko wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa bwana atamlipia fidia Yakobo na kuwakomboa mkononi mwa walio na nguvu kuliko wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana BWANA amemweka huru Yakobo, amemkomboa mkononi mwake aliyekuwa hodari kuliko yeye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana mimi Mwenyezi-Mungu nimemkomboa Yakobo, nimemwokoa kutoka kwa wenye nguvu kuliko yeye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana amewaokoa walio wa Yakobo, akawaokoa mikononi mwake aliyewashinda nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana BWANA amemweka huru Yakobo, amemkomboa mkononi mwake aliyekuwa hodari kuliko yeye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana mimi Yawe nimemukomboa Yakobo, nimemwokoa kutoka kwa wenye nguvu kuliko yeye.