Jeremiah 31:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yapo matumaini kwa siku zenu zijazo, mimi Mwenyezi-Mungu nimesema; kwani watoto wenu watarejea nchini mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo kuna tumaini kwa siku zijazo,” asema Mwenyezi Mungu. “Watoto wako watarudi nchi yao yenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena liko tumaini kwa siku zako za mwisho, asema Bwana; na watoto wako watarejea hata mpaka wao wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yapo matumaini kwa siku zenu zijazo, mimi Mwenyezi-Mungu nimesema; kwani watoto wenu watarejea nchini mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo kuna tumaini kwa ajili yako katika siku zijazo,” asema BWANA. “Watoto wako watarudi katika nchi yao yenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo kuna tumaini kwa siku zijazo,” asema bwana. “Watoto wako watarudi nchi yao yenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena liko tumaini kwa siku zako za mwisho, asema BWANA; na watoto wako watarejea hata mpaka wao wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yapo matumaini kwa siku zenu zijazo, mimi Mwenyezi-Mungu nimesema; kwani watoto wenu watarejea nchini mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kiko kingojeo kitakachotimia siku zilizoko mbele yako, kwani wanao watarudi kwenye mipaka yao; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena liko tumaini kwa siku zako za mwisho, asema BWANA; na watoto wako watarejea hata mpaka wao wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna matumaini kwa siku zenu zinazokuja, maana watoto wenu watarudia katika inchi yao. –Ni ujumbe wa Yawe.