Jeremiah 31:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Weka alama katika njia zako, simika vigingi vya kukuongoza, ikumbuke vema ile njia kuu, barabara uliyopita ukienda. Ewe Israeli rudi, rudi nyumbani katika miji yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Weka alama za barabara, weka vibao vya kuelekeza. Zingatia vyema njia kuu, barabara ile unayoipita. Rudi, ee Bikira Israeli, rudi kwenye miji yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jiwekee alama za njia; jifanyie miti ya kukuongoza; uuelekeze moyo wako kwenye njia kuu, njia ile ile uliyoiendea; rudi tena, Ee bikira wa Israeli, irudie hii miji yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Weka alama katika njia zako, simika vigingi vya kukuongoza, ikumbuke vema ile njia kuu, barabara uliyopita ukienda. Ewe Israeli rudi, rudi nyumbani katika miji yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Weka alama za barabara, weka vibao vya kuelekeza. Zingatia vyema njia kuu, barabara ile unayoipita. Rudi, Ee Bikira Israeli, rudi kwenye miji yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Weka alama za barabara, weka vibao vya kuelekeza. Zingatia vyema njia kuu, barabara ile unayoipita. Rudi, ee Bikira Israeli, rudi kwenye miji yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jiwekee alama za njia; jifanyie miti ya kukuongoza; uuelekeze moyo wako kwenye njia kuu, njia ile ile uliyoiendea; rudi tena, Ee bikira wa Israeli, irudie hii miji yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Weka alama katika njia zako, simika vigingi vya kukuongoza, ikumbuke vema ile njia kuu, barabara uliyopita ukienda. Ewe Israeli rudi, rudi nyumbani katika miji yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jisimamishie yaonyeshayo njia, kajiwekee vielekezo, nazo njia, ulizozipita ulipokwenda, zitie moyoni mwako! Rudini, mlio wanawali wa Isiraeli! Rudini katika hii miji yenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jiwekee alama za njia; jifanyie miti ya kukuongoza; uuelekeze moyo wako kwenye njia kuu, njia ile ile uliyoiendea; rudi tena, Ee bikira wa Israeli, irudie hii miji yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Weka kitambulisho katika njia zako, simika nguzo za kukuongoza, ukumbuke vema ile njia kubwa, barabara uliyopita ndani yake ukienda. Ewe Israeli rudi, rudi kwa nyumba katika miji yako.