Jeremiah 31:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utasitasita mpaka lini ewe binti usiye mwaminifu? Maana, mimi nimefanya kitu kipya duniani: Mwanamke amtafuta mwanamume.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utatangatanga hata lini, ee binti usiye mwaminifu? Mwenyezi Mungu ameumba kitu kipya duniani: mwanamke atamlinda mwanaume.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utasitasita mpaka lini ewe binti usiye mwaminifu? Maana, mimi nimefanya kitu kipya duniani: mwanamke amtafuta mwanamume.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utatangatanga hata lini, Ee binti usiye mwaminifu? BWANA ameumba kitu kipya duniani, mwanamke atamlinda mwanaume.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utatangatanga hata lini, ee binti usiye mwaminifu? bwana ameumba kitu kipya duniani: mwanamke atamlinda mwanaume.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utatangatanga hadi lini, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utasitasita mpaka lini ewe binti usiye mwaminifu? Maana, mimi nimefanya kitu kipya duniani: Mwanamke amtafuta mwanamume.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mnataka kutangatanga mpaka lini, ninyi wasichana wakatavu! Kwani Bwana ataumba jambo lililo jipya katika nchi: mwanamke atamkingia mumewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata lini utatanga-tanga, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utasitasita mpaka wakati gani, ewe binti usiyekuwa mwaminifu? Maana, mimi nimefanya kitu kipya katika dunia; mwanamuke anamulinda mwanaume.