Jeremiah 31:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ndipo watu wa Yuda na miji yake yote, wakulima na wachungaji wanaopitapita na makundi yao, watakaa huko pamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wataishi pamoja katika Yuda na miji yake yote, wakulima na wote wanaohamahama na mifugo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yuda, na miji yake yote, watakaa humo pamoja; wakulima, nao waendao huko na huko pamoja na makundi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ndipo watu wa Yuda na miji yake yote, wakulima na wachungaji wanaopitapita na makundi yao, watakaa huko pamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wataishi pamoja katika Yuda na miji yake yote, wakulima na wote wanaohamahama na mifugo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wataishi pamoja katika Yuda na miji yake yote, wakulima na wote wanaohamahama na mifugo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yuda, na miji yake yote, watakaa humo pamoja; wakulima, nao waendao huku na huko pamoja na makundi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ndipo watu wa Yuda na miji yake yote, wakulima na wachungaji wanaopitapita na makundi yao, watakaa huko pamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Wayuda watakaa huku katika miji yao yote iliyoko, walio wakulima nao watembeao na makundi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yuda, na miji yake yote, watakaa humo pamoja; wakulima, nao waendao huko na huko pamoja na makundi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu watu wa Yuda na miji yake yote, walimaji na wachungaji wanaopitapita na makundi yao watakaa huko pamoja.