Jeremiah 31:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliochoka nitawachangamsha, na walegevu nitawapa nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaburudisha waliochoka na kuwatuliza walio na huzuni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana nimeishibisha roho yenye uchovu, nami nimeiridhisha kila roho yenye huzuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliochoka nitawachangamsha, na walegevu nitawapa nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaburudisha waliochoka na kuwatuliza walio na huzuni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaburudisha waliochoka na kuwatuliza walio na huzuni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana nimeishibisha roho yenye uchovu, nami nimeiridhisha kila roho yenye huzuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliochoka nitawachangamsha, na walegevu nitawapa nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani roho zilizozimia kwa kiu nitazirudisha na kuzinywesha, nazo roho zilizozimia kwa njaa nitazishibisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana nimeishibisha roho yenye uchovu, nami nimeiridhisha kila roho yenye huzuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliochoka nitawachangamusha, na waregevu nitawapa nguvu.