Jeremiah 31:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mimi Mwenyezi-Mungu nilimtokea kwa mbali. Nami nimekupenda kwa mapendo ya daima, kwa hiyo nimeendelea kuwa mwaminifu kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alitutokea zamani, akisema: “Nimekupenda kwa upendo wa milele, nimekuvuta kwa wema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mimi Mwenyezi-Mungu nilimtokea kwa mbali. Nami nimekupenda kwa mapendo ya daima, kwa hiyo nimeendelea kuwa mwaminifu kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alitutokea wakati uliopita akisema: “Nimekupenda kwa upendo wa milele, nimekuvuta kwa wema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alitutokea wakati uliopita, akisema: “Nimekupenda kwa upendo wa milele, nimekuvuta kwa wema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mimi Mwenyezi-Mungu nilimtokea kwa mbali. Nami nimekupenda kwa mapendo ya daima, kwa hiyo nimeendelea kuwa mwaminifu kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana amenionekea toka mbali akiniambia: Nimekupenda kwa upendo wa kale na kale, kwa hiyo nimekuvuta kwa kukuhurumia, uje kwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mimi Yawe nilimutokea kwa mbali. Nami nimekupenda kwa mapendo ya milele, kwa hiyo nimeendelea kuwa mwema kwako.