Jeremiah 31:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La! Kila mmoja atakufa kwa sababu ya dhambi zake mwenyewe; ni yule tu atakayekula zabibu mbivu ndiye meno yake yatatiwa ganzi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake, kila mmoja atakufa kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe; yeyote alaye zabibu chachu, meno yake mwenyewe yatatiwa ganzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe; kila mtu alaye zabibu kali, meno yake yatatiwa ganzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La! Kila mmoja atakufa kwa sababu ya dhambi zake mwenyewe; ni yule tu atakayekula zabibu mbivu ndiye meno yake yatatiwa ganzi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake, kila mmoja atakufa kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe; ye yote alaye zabibu chachu, meno yake mwenyewe yatatiwa ganzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake, kila mmoja atakufa kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe; yeyote alaye zabibu chachu, meno yake mwenyewe yatatiwa ganzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe; kila mtu alaye zabibu kali, meno yake yatatiwa ganzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La! Kila mmoja atakufa kwa sababu ya dhambi zake mwenyewe; ni yule tu atakayekula zabibu mbivu ndiye meno yake yatatiwa ganzi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila kila mtu atauawa na manza, alizozikora yeye; hata kila mtu atakayekula zabibu bichi atakufa mwenyewe ganzi la meno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe; kila mtu alaye zabibu kali, meno yake yatatiwa ganzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kila mumoja atakufa kwa sababu ya zambi zake mwenyewe; ni yule tu atakayekula matunda mabichi ya mizabibu ndiye meno yake yataumizwa.