Jeremiah 31:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nayo kamba ya kupimia itanyoshwa moja kwa moja hadi mlima Garebu, kisha itazungushwa hadi Goa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamba ya kupimia itaanzia hapo kuendelea hadi kwenye kilima cha Garebu, na kisha kugeuka kuelekea Goa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kamba ya kupimia itaendelea moja kwa moja hata mlima Garebu, tena itazunguka na kufika Goa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nayo kamba ya kupimia itanyoshwa moja kwa moja hadi mlima Garebu, kisha itazungushwa hadi Goa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamba ya kupimia itaanzia hapo kunyooka mpaka kwenye kilima cha Garebu na kisha kugeuka kuelekea Goa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamba ya kupimia itaanzia hapo kuendelea hadi kwenye kilima cha Garebu, na kisha kugeuka kuelekea Goa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kamba ya kupimia itaendelea moja kwa moja hadi katika mlima Garebu, tena itazunguka na kufika Goa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nayo kamba ya kupimia itanyoshwa moja kwa moja hadi mlima Garebu, kisha itazungushwa hadi Goa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
toka hapo kamba ya kupimia itakwenda tena moja kwa moja mpaka kwenye kilima cha Garebu, hapo itazunguka kwenda Goa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kamba ya kupimia itaendelea moja kwa moja hata mlima Garebu, tena itazunguka na kufika Goa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nayo kamba ya kupima itanyooshwa moja kwa moja mpaka kwenye mulima Garebu, kisha itazungushwa mpaka Goa.