Jeremiah 31:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakujenga upya nawe utajengeka, ewe Israeli uliye mzuri! Utazichukua tena ngoma zako ucheze kwa furaha na shangwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakujenga tena, nawe utajengeka upya, ewe Bikira Israeli. Utachukua tena matari yako na kwenda kucheza na wanaofurahi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara ya pili nitakujenga, nawe utajengwa, Ee bikira wa Israeli mara ya pili utapambwa kwa matari yako, nawe utatokea katika michezo yao wanaofurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakujenga upya nawe utajengeka, ewe Israeli uliye mzuri! Utazichukua tena ngoma zako ucheze kwa furaha na shangwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakujenga tena nawe utajengeka upya, Ewe Bikira Israeli. Utachukua tena matari yako na kwenda kucheza na wenye furaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakujenga tena nawe utajengeka upya, ewe Bikira Israeli. Utachukua tena matari yako na kwenda kucheza na wenye furaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara ya pili nitakujenga, nawe utajengwa, Ee bikira wa Israeli mara ya pili utapambwa kwa matari yako, nawe utatokea katika michezo yao wanaofurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakujenga upya nawe utajengeka, ewe Israeli uliye mzuri! Utazichukua tena ngoma zako ucheze kwa furaha na shangwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakujenga; ndipo, utakapokuwa umejengwa, wewe mwanamwali wa Isiraeli! Utajipamba tena na kupiga patu, utatoka nao wachezao ngoma wakicheka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara ya pili nitakujenga, nawe utajengwa, Ee bikira wa Israeli mara ya pili utapambwa kwa matari yako, nawe utatokea katika michezo yao wanaofurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakurudisha katika hali mupya, ewe binti Israeli! Utazitwaa tena ngoma zako, nawe utajitokeza tena kwa kucheza na wenye shangwe.