Jeremiah 31:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utapanda tena mizabibu juu ya milima ya Samaria; wakulima watapanda mbegu na kuyafurahia mazao yake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utapanda tena shamba la mizabibu juu ya vilima vya Samaria, wakulima watapanda na kufurahia matunda yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara ya pili utapanda mizabibu juu ya milima ya Samaria; wapanzi watapanda, nao watayafurahia matunda yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utapanda tena mizabibu juu ya milima ya Samaria; wakulima watapanda mbegu na kuyafurahia mazao yake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utapanda tena shamba la mizabibu juu ya vilima vya Samaria, wakulima watapanda na kufurahia matunda yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utapanda tena shamba la mizabibu juu ya vilima vya Samaria, wakulima watapanda na kufurahia matunda yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara ya pili utapanda mizabibu juu ya milima ya Samaria; wapanzi watapanda, nao watayafurahia matunda yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utapanda tena mizabibu juu ya milima ya Samaria; wakulima watapanda mbegu na kuyafurahia mazao yake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utapanda tena mizabibu katika milima ya Samaria, nao wapanzi walioipanda wataichuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara ya pili utapanda mizabibu juu ya milima ya Samaria; wapanzi watapanda, nao watayafurahia matunda yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utapanda tena mizabibu juu ya milima ya Samaria; walimaji watapanda mbegu na kuyafurahia mazao yake!