Jeremiah 32:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikaitia sahihi hati ya kumiliki, nikaipiga mhuri, nikawaita mashahidi na kuipima ile fedha katika mizani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikatia sahihi na kuweka muhuri hati ya kumiliki, nikaweka mashahidi, na kupima ile fedha kwenye mizani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikaitia sahihi ile hati, na kuipiga muhuri, nikawaita mashahidi, nikampimia ile fedha katika mizani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikaitia sahihi hati ya kumiliki, nikaipiga mhuri, nikawaita mashahidi na kuipima ile fedha katika mizani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikatia sahihi na kuweka muhuri hati ya kumiliki, nikaweka mashahidi na kupima ile fedha kwenye mizani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikatia sahihi na kuweka muhuri hati ya kumiliki, nikaweka mashahidi, na kupima ile fedha kwenye mizani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikaitia sahihi ile hati, na kuipiga mhuri, nikawaita mashahidi, nikampimia ile fedha katika mizani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikaitia sahihi hati ya kumiliki, nikaipiga mhuri, nikawaita mashahidi na kuipima ile fedha katika mizani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaliandika katika cheti, nikatia muhuri, kikashuhudiwa na mashahidi, kisha nikampa fedha zake na kuzipima katika mizani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikaitia sahihi ile hati, na kuipiga muhuri, nikawaita mashahidi, nikampimia ile fedha katika mizani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikatia sahihi juu ya barua ya ununuzi, nikaipiga muhuri, nikawaita washuhuda na kuipima ile feza juu ya mizani.