Jeremiah 32:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, nilichukua ile hati ya kumiliki niliyoipiga mhuri, ambayo ilikuwa na masharti na kanuni, pamoja na nakala nyingine iliyokuwa wazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikachukua ile hati ya kununulia, nakala iliyotiwa muhuri yenye makubaliano na masharti, pia pamoja na ile nakala isiyo na muhuri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaitwaa ile hati ya kununua, ile iliyopigwa muhuri kama ilivyo sheria na ada, na ile nayo iliyokuwa wazi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, nilichukua ile hati ya kumiliki niliyoipiga mhuri, ambayo ilikuwa na masharti na kanuni, pamoja na nakala nyingine iliyokuwa wazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikachukua ile hati ya kununulia, nakala iliyotiwa muhuri yenye makubaliano na masharti, pia pamoja na ile nakala isiyo na muhuri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikachukua ile hati ya kununulia, nakala iliyotiwa muhuri yenye makubaliano na masharti, pia pamoja na ile nakala isiyo na muhuri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikaitwaa ile hati ya kununua, ile iliyopigwa mhuri kama ilivyo sheria na ada, na ile nayo iliyokuwa wazi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, nilichukua ile hati ya kumiliki niliyoipiga mhuri, ambayo ilikuwa na masharti na kanuni, pamoja na nakala nyingine iliyokuwa wazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikakichukua kile cheti cha ununuzi chenye muhuri kilichoandikwa maagano na maongozi, tena kingine kilicho wazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaitwaa ile hati ya kununua, ile iliyopigwa muhuri kama ilivyo sheria na ada, na ile nayo iliyokuwa wazi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, nikakamata ile barua ya ununuzi niliyoipiga muhuri, ambayo ilikuwa na masharti na kanuni, pamoja na barua ingine iliyokuwa wazi.