Jeremiah 32:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria, hati ya kumiliki shamba nilimwomba Mwenyezi-Mungu nikisema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria hii hati ya kununulia, nilimwomba Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata nikiisha kumpa Baruku, mwana wa Neria, hati ile ya kununua, nalimwomba Bwana, nikisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria, hati ya kumiliki shamba nilimwomba Mwenyezi-Mungu nikisema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Baada ya kumkabidhi Baruki mwana wa Neria hii hati ya kununulia, nilimwomba BWANA:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria hii hati ya kununulia, nilimwomba bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata nikiisha kumpa Baruku, mwana wa Neria, hati ile ya kununua, nilimwomba BWANA, nikisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kumkabidhi Baruku mwana wa Neria, hati ya kumiliki shamba nilimwomba Mwenyezi-Mungu nikisema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipokuwa nimekwisha kumpa Baruku, mwana wa Neria, cheti cha ununuzi nikamwomba Bwana kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata nikiisha kumpa Baruku, mwana wa Neria, hati ile ya kununua, nalimwomba BWANA, nikisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kumupatia Baruku mwana wa Neria barua ya ununuzi wa shamba, nilimwomba Yawe nikisema: